Usiogope mawingu yanayofunika macho yako
2023-12-25 11:20:13| CRI

Huu ni mstari wa shairi unaomaanisha kuwa mtu mwenye kuona mbali haogopi macho yake kufunikwa na mawingu yanayoelea.