Kituo cha kusafisha majitaka kilichojengwa na Kampuni ya China chasambaza maji ya umwagiliaji kwa wakulima wa Tunisia
2023-12-25 10:31:28| CRI

Ni wakati mwingine tena tunapokutana katika kipindi hiki cha DARAJA kinachokujia kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo tutakuwa na ripoti inayohusu Kituo cha kusafisha majitaka kilichojengwa na Kampuni ya China chasambaza maji ya umwagiliaji kwa wakulima nchini Tunisia. Pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi yanayohusu Chama cha Wanawake wa China wanaoishi nchini Kenya kimetoa zawadi kwa waoto katika kusherehekea sikukuu ya Krismas.