Rais Xi Jinping wa China akutana wanadiplomasia wa China wanaofanya kazi nje ya nchi.
2023-12-29 21:12:05| cri

Rais Xi Jinping wa China leo amekutana na wanadiplomasia wa China wanaofanya kazi nchi za kigeni, walioko hapa Beijingvkuhudhuria mkutano wa mwaka huu wa wanadiplomasia wanafanya kazi nje ya nchi.

Rais Xi ambaye pia ni katibu mkuu wa chama cha kikomunisti cha China   na mwenyekiti wa kamati ya kijeshi, alitoa hotuba muhimu kwenye mkutano huo.