Wakati, wanafunzi kama sisi katika umri wa kama maua, ari zetu zilifikia kileleni
2024-01-01 15:28:23| CRI

Huu ni mstari wa shairi lililotungwa na hayati mwenyekiti Mao Zedong kwa jina la Changsha, ambalo limeeleza uchangamfu walio nao vijana.