Dunia ni kwa manufaa ya wote
2024-01-08 09:56:13| CRI

Huu ni msemo unaoonesha kuwa dunia sio ya mtu mmoja au kikundi cha watu fulani bali ni ya kila mtu, na kila mtu atanufaika nayo.