Mwakilishi maalumu wa rais wa China kutembelea Tanzania
2024-01-12 15:54:24| CRI

Kuanzia tarehe 15 hadi tarehe 24, mwakilishi maalumu wa rais Xi Jinping wa China ambaye ni naibu waziri mkuu Bw. Liu Guozhong anatarajiwa kwenda Uganda kuhudhuria mkutano wa 19 wa kilele wa Harakati za Kutofungamana na Upande Wowote NAM na mkutano wa tatu wa wakuu wa Kusini, na pia kufanya ziara nchini Algeria, Cameroon na Tanzania.