China yafanikiwa kurusha chombo cha kusafirisha mizigo cha Tianzhou-7
2024-01-18 09:58:30| CRI

Chombo cha Tianzhou-7 kilirushwa kwa kutumia roketi ya Long March-7 Y8 kutoka kwenye kituo cha kurushia vyombo vya anga ya juu cha Wenchang, mkoani Hainan.Urushaji wa chombo hiki umepata mafanikio.