Watoto wanapaswa kutunzwa vizuri na kupata elimu bora. Vijana wanapaswa kupata fursa za kuendelea na taaluma zao na kufaulu. Na wazee wanapaswa kupata huduma za kutosha za matibabu na matunzo ya uzeeni
2024-01-22 12:56:50| CRI

Hii ni sentensi aliyoisema rais Xi Jinping kwenye hotuba ya kukaribisha mwaka mpya wa 2024 akisistiza umuhimu wa maisha bora kwa watu.