Rais wa China ajibu barua ya wanafunzi wa Kenya nchini China
2024-01-23 17:52:03| CRI

Rais Xi Jinping wa China amejibu barua ya wajumbe wa wanafunzi wa Kenya wanaosoma na waliosoma katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano ya Barabarani cha Beijing.