China na Nauru zarejesha uhusiano wa kibalozi
2024-01-24 13:46:04| cri

Januari 24, Jamhuri ya Watu wa China na Jamhuri ya Nauru zimerejesha uhusiano wa kibalozi.