Mambo yanayohusiana na China yang'ara katika AFCON 2023
2024-01-25 14:05:24| CRI

Karibu tena msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Kama ilivyo ada kipindi chetu kina habari mbalimbali kuhusu China na nchi za Afrika, pia kuna ripoti na mahojiano. Katika kipindi cha leo, tutakuwa na ripoti inayohusu michuano ya AFCON inayoendelea nchini Cote d’Ivoire na jinsi China ilivyochukua nafasi katika michuano hiyo, lakini pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi yatakayozungumzia uwezekano wan chi nyingine za Afrika kujiunga na Kundi la BRICS.