Xi atembelea watu mjini Tianjin kabla ya mwaka mpya wa jadi wa China
2024-02-02 13:54:01| cri

Xi Jinping, katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, aliwatembelea watu mjini Tianjin, kaskazini mwa China kabla ya mwaka mpya wa jadi wa China.