Nia ya kushinda, nia ya kufanikiwa, shauku ya kufikia uwezo wako kamili... hizi ndizo funguo zitakazofungua milango ya ubora wako binafsi
2024-02-05 09:47:00| CRI

Huu ni msemo uliotolewa na mwanafalsafa maarufu wa China Confucius, unaosisitiza kwamba ili kufikia malengo lazima kwanza uwe na nia thabiti na hamu ya kutekeleza malengo yako.