Pili Mwinyi atembelea mazeozi ya Tamasha la opera la mwkaa mpya wa jadi wa China
2024-02-07 14:42:30| cri

Tamasha la Opera la Mwaka Mpya wa Jadi wa China limekuwa kivutio kikubwa kwa wageni na kutamani kulijua. Je ni hazina gani ya Sanaa iliyosheheni kwenye opera hii. Pili amekwenda kukata kiu yake na kujua kwa undani Zaidi.