CMG yamaliza duru ya 5 ya mazoezi ya Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa Kichina
2024-02-08 11:08:58| cri

Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) jana limemaliza duru ya 5 ya mazoezi ya Tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina, na hadi sasa maandalizi yote ya tamasha la mwaka huu yamekamilika.

CMG inakukaribisha kutazama tamasha hilo zuri katika Mkesha wa Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina.