Hakuna taifa lenye haki ya kufanya maamuzi kwa ajili ya taifa lingine, na hakuna mtu anayeweza kufanya maamuzi kwa ajili ya mtu mwengine
2024-02-19 10:46:40| CRI
Sentensi hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambayo inatoka katika hotuba yake ya Mwaka Mpya aliyoitoa nchini Tanzania tarehe 1 Januari 1968, inasisitiza umuhimu wa watu kuwa na uwezo wa kujiamulia mambo yao.