Ukitaka mti ukue lazima uimarishe mzizi wake, ukitaka maji yatiririke mbali lazima uchimbe vizuri chanzo chake
2024-02-19 10:36:55| CRI

Huu ni msemo wa kale wa China unaosisitiza kwamba ili kitu chochote kiweze kidumu basi kinahitaji kuenziwa na kuendelezwa.