Rais wa Sierra Leone kufanya ziara China
2024-02-26 15:46:30| cri

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying ametangaza kuwa kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping, Rais Julius Maada Bio wa Jamhuri ya Sierra Leone atafanya ziara ya kiserikali nchini China kuanzia Februari 27 hadi Machi 2.