Kama ukitaka kuwanufaisha watu, si lazima ufuate mazoea; kama ukitaka kufanya mambo vizuri, si lazima ufuate desturi
2024-02-26 14:45:30| CRI

Msemo huu wa kale ulitolewa na mhenga Liu An kutoka Enzi ya Han, ukimaanisha ikiwa kitu kina manufaa kwa watu, si lazima kufuata mfumo wa kale, ikiwa kinakwenda sambamba na hali halisi, si lazima kufuata desturi za zamani.