Burkina Faso yasema watu 170 wameuawa kwenye mashambulizi vijijini
2024-03-04 22:19:58| cri

Mwendesha mashtaka wa umma wa Burkina Faso Bw. Aly Benjamin Coulibaly amesema takriban watu 170 wakiwemo wanawake na watoto wameuawa katika mashambulizi dhidi ya vijiji vitatu nchini Burkina Faso, na kuomba watu wajitokeza kutoa ushahidi kusaidia kuwapata walioshambulia vijiji vya Komsilga, Nordin na Soro.