Katika maisha yetu, kuna njia laini na pia hatari
2024-03-04 09:46:38| CRI

Msemo huu ulitolewa na mwanahistoria Yuan Haowen katika zama za kale, ukilenga kuwatahadharisha watu kuwa hakuna njia yoyote inayoweza kupitika kama watu wanakwepa taabu.