Wang Yi ataka Marekani iyatendee maendeleo ya China kwa mtazamo sahihi
2024-03-07 11:25:40| cri

Kwenye mkutano na wanahabari wa Mkutano wa Pili wa Bunge la 14 la Umma la China Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema, China siku zote inadumisha sera tulivu ya mfululizo kwa Marekani, na kuitaka Marekani iyatendee maendeleo ya China kwa kuzingatia hali halisi na maoni sahihi, na kutimiza ahadi zake kivitendo.