Wanawake wanamiliki ardhi zaidi ya kilimo kuliko wanaume nchini Rwanda
2024-03-08 22:51:01| cri

Ripoti ya hali ya Usawa wa Jinsia nchini Rwanda inaonesha kuwa wanawake nchini Rwanda wanapaswa kutumia ardhi ya kilimo ikizingatiwa kuwa wao wanamiliki sehemu kubwa ya ardhi ya kilimo kuliko wanaume.

Ripoti hiyo itatolewa hivi karibuni ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, ikisema Rwanda imepiga hatua kubwa kuhusu usawa wa kijinsia katika umiliki wa ardhi, matumizi na udhibiti. Hii ni muhimu katika kuwawezesha wanawake, kwani ardhi ni raslimali muhimu kwa