Baada ya kuondoka Suzhou, msafiri itamuwia vigumu kupata usafiri wa boti
2024-03-11 11:17:30| CRI

Huu ni msemo uliotolewa na rais Xi Jinping kwenye kitabu cha Utawala wa China ukimaanisha fursa iliyokosekana basi huwa ni fursa iliyopotea.