Ethiopia yazindua huduma ya data za satelaiti kwa ushirikiano na China
2024-03-14 10:53:04| CRI

Natumaini uko salama msikilizaji na karibu tena katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CGTN Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo msikilizaji tutakuwa na ripoti itakayohusu Ethiopia kuzindua huduma ya data za satelaiti kwa ushirikiano na China, na pia tutakuwa na mahojiano kutoka CGTN Kiswahili Nairobi na yatazungumzia matumaini ya wataalam kuhusu ripoti ya kazi ya China.