Mipichi na Michikichi haiongei, lakini inavutia sana hadi imejitengeneza njia chini ya miti
2024-03-19 10:30:14| CRI

Huu ni msemo uliotolewa na rais Xi Jinping kwenye kitabu cha Utawala wa China, wakati alipokuwa akizungumzia kuhusu kuanzishwa kwa pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.