Rais wa China akutana na waziri mkuu wa Dominika
2024-03-25 16:51:01| Cri


 

Rais Xi Jinping wa China leo alasiri kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Umma wa Beijing amekutana na waziri mkuu wa Dominika Roosevelt Skerrit, ambaye yupo ziarani nchini China.