Maji yanatoka kwenye chanzo chake
2024-03-25 10:11:28| CRI

Huu ni mstari wa shairi uliosemwa na Zhu Xi kutoka Enzi ya Song, ukimaanisha urithi mzuri wa kitamaduni unaochipuka bila kusita.