Marais wa China na Nauru kufanya mazungumzo
2024-03-25 16:51:49| Cri


 

Rais Xi Jinping wa China leo alasiri kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Umma wa Beijing atazungumza na mwenzake wa Nauru David Ranibok Adeang, ambaye yupo ziarani nchini China.