Rais Xi akutana na wageni kutoka Marekani
2024-03-27 15:11:51| cri

Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing amekutana na wadau wa sekta za biashara, mikakati na taaluma kutoka Marekani.