Wakumbuke wataaalmu wa China waliojitoa muhanga katika mradi wa reli ya TAZARA nchini Tanzania
2024-04-04 11:01:36| CRI

Hujambo msikilizaji na karibu katika kipindi cha Daraja kinachokujia kila jumapili kupitia CGTN Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka Beijing.

Ripoti yetu katika kipindi cha leo itahusu kuwakumbuka wataaalmu wa China waliofariki wakati wa ujenzi wa reli ya TAZARA nchini Tanzania, na pia tutakuwa na mahojiano kutoka CGTN Idhaa ya Kiswahili Nairobi yatakayohusu muungano wa kitaifa wa waliokuwa wanafunzi wa Kenya nchini China umepongezwa kwa juhudi zake za kuwa daraja kati ya China na Kenya.