Rais wa Suriname kufanya ziara China
2024-04-08 18:20:05| cri

Kwa kufuatia mwaliko wa rais Xi Jinping wa China, rais Chandrikapersad Santokhi wa Suriname atafanya ziara nchini China kuanzia tarehe 11 hadi 17 Aprili.