Huwezi kunenepa kwa mlo mmoja tu
2024-04-09 11:00:21| CRI

Msemo huu unamaanisha kuwa matokeo yoyote yale huwa yanatokana na kile unachofanya mara kwa mara na sio unachofanya kwa siku moja tu.