Rais wa China akutana na waziri wa mambo ya nje wa Russia
2024-04-09 19:16:21| CRI

Rais Xi Jinping wa China Aprili 9 mjini Beijing amekutana na waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov.