Mafunzo ya ufundi stadi ni eneo muhimu la ushirikiano kati ya China na Angola
2024-04-11 14:09:35| CRI

Hujambo msikilizaji na karibu katika kipindi cha Daraja kinachokujia kila jumapili kupitia CGTN Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka Beijing.

Ripoti yetu katika kipindi cha leo itahusu mafunzo ya ufundi stadi na mafunzo kwa watu wenye ujuzi ni eneo muhimu la ushirikiano kati ya China na Angola. Pia tutakuwa na mahojiano kutoka CGTN Idhaa ya Kiswahili Nairobi yatakayohusu mhandisi maarufu wa Kenya ambaye pia alikuwa mkenya wa kwanza kupata ufadhili wa masomo nchini China mwaka wa 1982 kuwataka Wakenya kuiga uchapakazi wa Wachina.