Iran yafanya shambulizi ya makombora na droni dhidi ya malengo ya Israel
2024-04-14 12:28:07| CRI

Jeshi la Iran leo asubuhi mapema limetangaza kurusha makombora na kutumia droni dhidi ya malengo ya Israel kwenye ardhi ya Palestina zilizochukuliwa na Israel.

Habari kutoka Channel 12 nchini Israel zinasema, majeshi ya Marekani na Uingereza yameanza kuzizuia droni kutoka Iran.