Mdahalo kuhusu njia za kuendeleza sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania wafanyika
2024-04-16 15:47:43| cri

Mdahalo kuhusu njia za kuendeleza sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania ulifanyika hivi karibuni katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha China. Washiriki wa mdahalo huo walijadili masuala mbalimbali kuhusu sekta ya kilimo pamoja na ushirikiano kati ya China na Tanzania.