Nguo huwa zinathaminiwa zaidi zikiwa mpya, lakini mahusiano na watu yanathaminiwa zaidi yanapokuwa ya zamani
2024-04-18 14:12:00| CRI

Msemo huu wa kale wa China unatukumbusha kukuza na kuthamini urafiki na uhusiano wa muda mrefu.