Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-18 cha China charushwa kwa mafanikio
2024-04-25 22:00:57| CRI

Chombo cha anga za juu cha Shenzhou-18 cha China kilichobeba wanaanga watatu kimerushwa tarehe 25 mwezi Aprili kutoka kwenye kituo cha kurushia vyombo vya anga ya juu cha Jiuquan, kaskazini magharibi mwa China.