Inawezaje kuhesabiwa kuwa mahali tofauti wakati tunaangalia Mwezi mmoja
2024-04-29 14:29:45| CRI

Mstari huu wa shairi ulitungwa na mshairi Wang Changling kutoka enzi ya Tang alipomwaga rafiki yake Tang.