Reli zilizojengwa na China zavutia Waethiopia kwa usafiri wa kijani na wa bei nafuu
2024-05-02 09:54:56| CRI

Ni wakati mwingine tena tunapokutana katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CGTN Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo msikilizaji utasikia habari mbalimbali kuhusu nchi za Afrika na China, pia tutakuwa na ripoti itakayozungumzia reli zilizojengwa na China zavutia Waethiopia kwa usafiri wa kijani na wa bei nafuu, na pia utasikia mahojiano kati ya Zakia Peng anazungumza na profesa Aurelia Kokuletage kutoka chuo kikuu cha Mzumbe nchini Tanzania.