Rais Xi Jinping wa China aanza ziara nchini Ufaransa, Serbia na Hungary
2024-05-05 12:40:30| CRI

Rais Xi Jinping wa China leo asubuhi ameondoka Beijing na kuanza ziara nchini Ufaransa, Serbia na Hungary.