Msomi wa Côte d’Ivoire:Njia ya China kuelekea kuwa nchi ya kisasa yatoa mfano wa kuigwa kwa Afrika
2024-05-09 10:36:33| CRI

Hujambo msikilizaji na karibu tena kwenye kipindi cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CGTN Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Kipindi cha leo, licha ya habari mbalimbali kuhusu China na Afrika, tutakuwa na ripoti kuhusu msomi wa nchini Cote d’Ivoire ambaye anaona kuwa njia ya China kuelekea kuwa nchi ya kisasa ni mfano wa kuigwa kwa Afrika, lakini pia tutakuwa na mahojiano na Profesa Japhet Joel, mtafiti wa teknolojia ya kisasa kutoka nchini Tanzania.