Rais Xi Jinping wa China arudi Beijing baada ya kumaliza ziara yake nchini Ufaransa, Serbia na Hungary
2024-05-11 09:25:59| cri

Rais Xi Jinping wa China amerudi Beijing tarehe 11 asubuhi baada ya kumaliza ziara yake ya kiserikali nchini Ufaransa, Serbia na Hungary.