Msahau mila ni mtumwa
2024-05-13 09:24:31| CRI

Huu ni msemo wa Waswahili unaosisitiza kwamba taifa ni lazima lijali asili na utamaduni wake ili lisiwe mtumwa wa tamaduni za mataifa mengine.