Marais wa China na Russia washiriki kwenye ufunguzi wa shughuli ya “Mwaka wa utamaduni wa China na Russia”
2024-05-16 20:58:15| CRI


Rais Xi Jinping wa China na rais Vladimir Putin wa Russia Leo alasiri wameshiriki kwenye ufunguzi wa “Mwaka wa utamaduni wa China na Russia” na tafrija ya kupiga muziki ya kuadhimisha miaka 75 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kibalozi kati ya nchi hizo mbili.