Mbweha bandia, chuimilia mwenye nguvu
2024-05-20 11:46:04| CRI

Hii ni nahau inayoelezea hali ambayo mtu ana mamlaka kwa sababu anaungwa mkono na mtu mwenye nguvu nyuma yake.