Prof.Jeffrey Sachs: China sio tishio kwa Marekani, lakini ni tishio kwa umwamba wa Marekani
2024-05-23 09:16:17| cri

Profesa Jeffrey Sachs, mchumi anayejulikana duniani, kwenye kipindi cha jukwaa la kushiriki video la YouTube amesema, China sio tishio kwa Marekani, lakini ni tishio kwa umwamba wa Marekani. Profesa Sachs pia amekosoa majibu ya kupita kiasi ya Marekani kwa maendeleo ya China.