Mjumbe maalumu wa Rais wa China kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa rais wa Comoro
2024-05-23 15:01:19| cri

Kutokana na mwaliko wa rais Azali Assoumani wa Comoro, mjumbe maalumu wa rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni naibu mwenyekiti wa baraza la mashauriano ya kisiasa la China Bw. He Baoxiang, Mei 26 atahudhuria hafla ya kuapishwa kwa rais Azali itakayofanyika huko Moroni, mji mkuu wa Comoro.