Hali ya dunia isipoimarika itadidimia, usimamizi wa nchi usipotafuta maendeleo utadorora
2024-05-27 09:44:25| CRI

Hii ni sentensi inayosisitiza kuwa katika mchakato wa kujenga nchi kuwa na nguvu, ni lazima kuzingatia usalama mpana wa taifa, na kutafuta fursa mpya kwenye msukosuko, na kukusanya nguvu kubwa ya kushinda taabu na changamoto.